MzaniApp ni Mfumo wa Usimamizi wa Biashara (Business Management System – BMS) unaotoa huduma za kidijitali kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati. Huduma zinazotolewa ni pamoja na:
- Muhtasari (Dashboard) — Kituo cha udhibiti wa biashara kwa wakati halisi
- Mauzo (POS) — Mfumo wa mauzo ya kila siku unaorekodia kiotomatiki
- Matumizi — Ufuatiliaji wa gharama zote za uendeshaji wa biashara
- Stoo (Inventory) — Usimamizi kamili wa bidhaa na tahadhari za akiba
- Ripoti — Uchambuzi wa kina wa data ya biashara
- Invoisi — Uandaaji wa ankara rasmi za kibiashara
- Madeni — Ufuatiliaji wa madeni ya wateja
- Kalenda — Mipango ya ratiba za biashara
- Mtandaoni — Masoko ya kidijitali kwa bidhaa zako
- Habari za TRA — Mwongozo wa kodi na sheria za kiserikali
- Mzani AI — Msaidizi mahiri wa kidijitali wa biashara
- Maboresho na Mipangilio — Usimamizi wa akaunti na mfumo
MzaniApp is a Business Management System (BMS) providing digital services to small and medium enterprises. Services include:
- Dashboard — Real-time business control center
- POS (Sales) — Daily sales system with automatic recording
- Expenses — Tracking all business operational costs
- Inventory (Stock) — Complete product management with low-stock alerts
- Reports — In-depth business data analysis
- Invoices — Preparation of formal business invoices
- Debts — Customer debt tracking
- Calendar — Business schedule planning
- Online — Digital marketplace for your products
- TRA News — Tax and government regulation guidance
- Mzani AI — Intelligent digital business assistant
- Updates & Settings — Account and system management